Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini Charles Mwijage tayari amerejea Jimboni kwake kwa ajili ya kuanza ziara na baada ya kufika ameongea na AyoTV na millardayo.com na kueleza jinsi anavyoweza kufanikisha shughuli zake za maendeleo huku akisema kuwa huwezi kundesha maendeleo kwa njia za kipolisi.
“MITI THAMANI YAKE NI ZAIDI YA TUMBAKU, MSICHOMEE TUMBAKU” MAKAMU RAIS