Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike leo ametangaza rasmi kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa dhidi ya Uganda uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Kikosi hicho kimeitwa kikiwa na wachezaji 25 kuelekea mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Uganda March 24, huo ukiwa ni mchezo muhimu kwa Taifa Stars kupata ushindi ili wajiweke vizuri katika harakati za kufuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 nchini Misri.
Kikosi kamili cha Taifa Stars kilichotangazwa leo
1- Aishi Manula (Simba SC) 13- Mbwana Samatta (KRC Genk)
2-Feisal Salum (Yanga) 14- Jonas Mkude (Simba SC)
3- Hassan Kessy (Nkana Red Devils) 15- Thomas Ulimwengu (Js Saoura)
4- Yahya Zayd (Ismaily) 16- Mechata Mnata (Mbao FC)
5- Gadiel Michael (Yanga) 17- Aron Kalambo (Prisons)
6- Himid Mao (Petrojet) 18- Suleiman Salula (Malindi FC)
7- Mudathir Yahya (Azam FC) 19- Vicent Philipo (Mbao FC)
8- Shaban Chilunda (Tenerife) 20- Ally Mtoni (Lipuli FC)
9- Kelvin Yondani (Yanga) 21- Andrew Vincent (Yanga)
10- Shiza Kichuya (ENPPI) 22- Kennedy Wilson (Singida United)
11- Simon Msuva (Difaa El Jadid) 23- Agrey Morris (Azam FC)
12- Rashid Mandawa (BDF XI) 24- John Bocco (Simba SC)
25- Faridi Mussa (Tenerife-Hispania)
Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke wake