Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera Oliver Semguruka ameongea na AyoTV na millardayo.com kuhusu changamoto alizopitia katika maisha yake ikiwa ni pamoja na kuuza mayai, pamoja nguo (mitumba).
Akizungumza amewataka Wanawake kutokata tamaa kutokana na changamoto wanazopitia katika maisha yao kila siku kwani mvumilivu ndio hula mbivu.
MAMA ANA WATOTO WATANO WOTE WANA ULEMAVU, DC SAME AMTEMEBELA