Mama Nighenjijwe Yasin mkazi wa Same Mkoani Kilimanjaro amejaliwa kupata watoto watano wote wakiwa na ulemavu wa viungo na amewatunza hadi kuwa watu wazima ambapo Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemery Senyavule amefika nyumbani hapo kutoa misaada pamoja na kumpa moyo mama huyo ili asikate tamaa.
KAMANDA ASIMULIA WALIVYOPAMBANA USO KWA USO NA MAJAMBAZI