Wazee wa Mila maarufu kama Washili Wilayani Arumeru wamekutana kwa pamoja na kutoa tamko ambapo wamekubaliana na uamuzi wa Spika wa kumvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari huku wakimtaka awaombe radhi la sivyo ataharibikiwa.
INASIKITISHA: Mke asimulia ukatili aliofanyiwa na Mumewe “alinichoma visu kumi”