Spika wa Bunge Job Ndugai ametoa onyo kwa Wabunge kuacha kuropoka mambo hovyo wakati wakijua kuwa wanasimama kama wawakilishi wa wananchi majimboni kwao ambapo pia katika kuongezea Spika Ndugai amefichua kwamba kuna Wabunge wana madeni mengi kiasi kwamba wanakuwa na msongo wa mawazo huku akimtaja miongoni mwao kuwa ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye hadi sasa anadaiwa zaidi ya Milion 419.
AGIZO LA SPIKA NDUGAI KWA WABUNGE WALIOTELEKEZA WATOTO “NITAKUJA NA ORODHA”