RC Makonda akizungumza na wakina mama Wajane katika ukumbi wa Mlimani City “Nawala siwezi kushindwa kusema ya kwamba sasa watu wa hovyo ndio wanaonekana wa maana na wa maana thamani yao haionekani kwenye jamii, Wewe mzazi usikubali mtoto wako akachukua tabia za watu sio mfano katika jamii”.
KAMANDA AZUNGUMZIA KUZUIA MKUTANO WA ZITTO KABWE “WALITAKA KULIPIZA KISASI”