Shahidi wa sita katika kesi ya mauaji ya Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Scolastica Humphrey Makundi ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Moshi namna alivyochukua damu ya wazazi wake pamoja na mifupa na meno ya Marehemu kupeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
DC ACHARUKA MIRADI ZAIDI YA 100 KUTOPIMWA NA INJINIA “TUGAWANE MSHAHARA”