Staa wa Bongofleva na Mjasiriamali Shilole baada ya kupokea Tuzo yake ya kwanza ya Malkia wa Nguvu katika kipengele cha mfanyabiashara wa chakula aliyopewa na Clouds Media ameamua kutua nayo katika Jiji la Mbeya na kupika kuku rosti na ugali katika Mgawahawa wa Texas wa mteja wake kutoka shishi food ya DSM ambaye ameamua naye alete chakula kama hicho kwa Mbeya baada ya kuvutiwa na Shishi katika mapishi.
LIVE: MAWAZIRI WANAJIBU KERO ZA WANANCHI BUNGENI, MASWALI TOKA KWA WABUNGE