Kcee ni staa kutoka Nigeria ambae amekua akipata airtime hata kwenye vituo vya Tanzania na single zake kama ‘Limpopo’ pia single nyingine aliyofanya na Wizkid ya ‘pull over’
Hii ni single yake mpya ambayo haina hata wiki tatu toka itoke na ametumia maneno ya Kiswahili ‘hakuna matata’ kwenye chorus na jina la wimbo wenyewe ambao ndio huu hapa chini.
Kama unavutiwa na stori kama hizi na usingependa ziwe zinakupita, karibu kujiunga nami kwenye twitter, instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo.