Leo April 16, 2019 Takribani Ekari 20 za bangi zimegundulika ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Makere Kaskazini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma zikidaiwa kulimwa na Watanzania kwa kushirikiana na raia wa kigeni wakiwemo wakimbizi.
Mashamba hayo yamegunduliwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya kwa kushirikiana na Kikosi cha Ulinzi cha Wakala wa Misitu Wilayani humo TFS baada ya kufanya opareshen ndani ya hifadhi hiyo.
MILIONI 150 ZIMETENGWA KWA AJILI YA SOKO LA MSASANI, MEYA SITA KAWEKA WAZI