Licha ya Sigara kuwa adui mkubwa wa afya na hata michezo pia, wachezaji wengi wa soka wamekua wakiendeshwa sana na “kilevi” hicho huku wengine ikiwa ni sehemu ya maisha yao! Hapa nimekuandalia list fupi ya baadhi ya wachezaji wanaotumia sigara kupindukia. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama
MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA