Leo April 21, 2019 Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema “hata ukituhumiwa kumpa mwanafunzi mimba tukipata taarifa na tukikuamata ndani ya miezi tisa utapata tabu kweli na hautapewa dhamana”
“Ndani ya kituo cha Polisi hautapewa dhamana, labda ukienda Mahakamani wakupe dhamana, hapo acha damu za Watoto ikakae kwa Mahakimu na Majaji sio kwangu mimi Mkuu wa Wilaya” DC Muro
WACHEZAJI KUMI WALIOKUBUHU KUVUTA SIGARA