AyoTV na millardayo.com inakusogezea taarifa ya mwenendo wa Kimbunga “Kenneth” katika bahari ya Hindi na athari zake kwa mifumo ya hali ya hewa hapa Dkt Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu – Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania anatuonyesha kilipofika kwa sasa.
KIFO CHA MUSTAFA WA SULTAN, MTOTO AANGUA KILIO LIVE AKITAZAMA