Premier Bet
TMDA Ad

Burudani

Kifo cha Mustafa wa Sultan, Mtoto aangua kilio live akitazama (+video)

on

Kuna tamthilia nyingi ambazo zimekuwa zikifuatiliwa na Watanzania ila kwa sasa ni hii ya Sultani inayoonyeshwa na Kituo cha Azam ambapo Leo April 25, 2019 moja ya video iliyo-trend Instagram ni ya Mtoto ambaye ameoneka kuangua kilio baada ya moja ya Waigizaji katika tamthilia Mustafa kuuawa na Baba yake.

TAZAMA KIMBUNGA KENNETH KINAVYOSOGEA KUTOKA COMORO KUJA TANZANIA NA MSUMBIJI

 

Soma na hizi

Tupia Comments