Wananchi wa Jimbo la Nzega Vijijini wamemuomba mwakilishi wao Dr. Hamis Kigwangalla ambaye ni Waziri wa Maliasili na Utalii kumfikisha Waziri Miundombinu kilio chao cha barabara zinazounganisha Vijiji na Kata ili kurahisisha mawasiliano.
Akizungumza wakati wa ziara ya kikazi Jimboni kwake Dr.Kigwangalla ametoa ufafanuzi “toka Taasisi ya TARURA imeundwa mpaka leo katika Jimbo la Nzega Vijijini haina tija kabisa barabara nyingi kabla ya ujio wa Taasisi hii tulikuwa tunazijenga wenyewe toka wameingia wao changamoto zimekuwa nyingi”
GOOD NEWS YA DREAMLINER KUTOKA TANZANIA MPAKA CHINA