Katika kuhifadhi mazingira na kuifanya Tabora kuwa ya kijani Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amepokea ugeni wa wanafunzi wa Chuo cha Taknolojia cha Dar Es Salaam (DIT) waliodhuru kwa mafunzo katika mradi wa Ziwa Victoria na kupanda miti kwa kulinda mazingira na vyanzo vya maji.
Baada ya zoezi la upandaji miti Mwanri amewakumbusha wanafunzi na wananchi ”Hakuna a serious Investor atakuja katika Mkoa wako kuwekeza kama hana uhakika na chanzo cha maji, tunapoona DIT mnakuja tunaona mnatambua jitihada zinazoendelea hapa, ukipanda miti mingi kwenye eneo lako na kama kuna Pollution, carbondioxide itaondoka na haturuhusu shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji”.
DC AMWAMBIA JAMAA UMEOA MKE SHUJAA, KAGAWA MILIONI 900 KWA WANAWAKE