Nuru Rashid Lugina ni Mtanzania anaeishi katika Mlima wa Maajabu wenye wanyama wakali ikiwemo Chui, Fisi na Nyoka kwa miaka tisa ambapo mlima huo unapatikana katika Kata ya Tumbi Manispaa ya Tabora, anasimulia mazingira yaliyopelekea kuishi katika mazingira hayo.
“Nilielekezwa na viumbe kwa siku 21 na Mlima huu una mti uliopasua jabali, mkuki uliochoma kwenye jiwe ukazama na Mlima huu una mapango mengi kuna Fisi wanaishi kwenye pango na Chui anaishi kwenye Mlima juu na hana sehemu maalum mfano humu ndani ukiingia kuna sehemu anapenda kukaa,” Lugina
MAAJABU: Mtanzania anaishi na Chui pangoni, nilichukuliwa na mizimu, Mama alipotea humu” (+video)
Leave a comment
Leave a comment