Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni imesema kuwa hakuna Sheria yoyote inayomruhusu Askari Polisi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa mbalimbali kama ilivyozoeleka kwa baadhi ya Askari kufanya vitendo hivyo ambavyo ni kinyume na sheria ya nchi.
“KUNA WATU HAWASIKII, WATAPATA TABU SANA”-MKURUGENZI DODOMA