Mkuu wa Mkoa Tabora Aggrey Mwanri akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya elimu Mkoani humo amebaini sehemu kubwa ya mbao zilizonunuliwa kwa ajili ya kuezeka kuwa chini ya kiwango na ametoa maagizo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kupitia upya taarifa za manunuzi.
“Kila siku mnanunua mabanzi siku nitakuja kuanguka na watu hapa, nyie mnaletewa takataka halafu mnachukua mnaenda kuwajengea nyumba nataka nipate ripoti la sivyo Mkurugenzi jiandae kukata mishahara yote” RC Mwanri
MANENO YA MSEMAJI WA YANGA BAADA YA SIMBA KUFUNGWA “WAMEOMBA VIATU”