Taarifa kutoka katika ukurasa rasmi wa Wizara ya Madini leo May 26, 2019 ni kumhusu Mchimbaji Mdogo wa Madini Mkoani Shinyanga ambaye ameuza Almasi yake kwa Tsh. Bilioni 3 Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akishuhudia. Serikali yapata Milioni 238 kutokana na mauzo hayo.