Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Dogo Kagere alivyoingia kambi ya Simba, Kagere alivyompa mpira aliofunga hat trick (+video)

on

Mtoto Rackeem Shango ambaye ni shabiki wa timu ya Simba hususani ushabiki wake wa kumpenda mshambuliaji Meddie Kagere ametua jijini DSM kwa ajili ya kuchukua mpira ambao Medie Kagere ameupata baada ya kufunga magoli matatu.

Kocha wa Simba SC kagoma kuuzungumzia mchezo “Mimi sio kocha wa water Polo”

Soma na hizi

Tupia Comments