Mfanyabiashara Fred Elifas aliekamatwa kwa amri ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ameachiwa kwa dhamana huku akisema kitendo alichofanyiwa sio haki na aliitwa tapeli huku akisema alikwenda kwa Mkurugenzi kupata majibu juu ya maduka yaliyojengwa na kushangaa anafungwa pingu.
DC HAI “RAIS MAGUFULI ALITUITA IKULU, AMEAGIZA MSIMDHURUMU MTU KWA JINA LAKE”