Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Makatibu Tawala wa Wilaya zote na Maafisa Tarafa wa Tarafa zote hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo ametangaza kutoa Bilioni 1 kwa ajili yao ili wapatiwe bodaboda.