Baada ya Msiraki kutangaza punguzo la bei ya majeneza katika duka lake unaambiwa watu kumi wamejitokeza na kulipia gharama za majeneza ili watakapkuja kufariki wasiwasumbue ndugu zao. Mkurugenzi wa Trademak Maximilian Msiraki anaelezea tukio zima.
LIVE: WAZIRI MPANGO AKIWASILISHA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020 BUNGENI – DODOMA