Kutana na Doreen Odemba, Mrembo mwenye umri wa miaka 25 alieamua kujitokeza hadharani na kuweka wazi kwamba anaishi na virusi vya UKIMWI, pamoja na kuishi na virusi hivyo Doreen hajaacha kupanga maisha na kuweka nia ya kuzifikia ndoto zake ambapo tayari amepata Mwanaume (ambae hajaathirika na virusi vya UKIMWI) ambae kamtambulisha mpaka kwao tayari kwa maandalizi ya ndoa… bonyeza play hapa chini kupata simulizi nzima ya Doreen
“MWANAUME ALIENYANG’ANYA MAJAMBAZI BUNDUKI, ‘NATAMANI KUWA MWANAJESHI'” PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: “MTANZANIA ANAEFUGA MENDE “MMOJA NAMUUZA SHILINGI ELFU MOJA” – BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA BILIONEA MTANZANIA ALIEUZA ALMASI YA BILIONI 3, BONYEZA PLAY HAPA CHINI