Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amefunguka kuhusu sauti za viongozi mbalimbali zinazosombaa mitandaoni akitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ichukue hatua.
“Haya mambo hayawezi kufanyika katika nchi inayoheshimu utu wa watu, tunaitaka TCRA ndio yenye mamlaka ya kusimamia mawasiliano itoe taarifa sahihi ni nani aliyefanya kazi hiyo chafu ya Kishetani,” Kubenea
NAPE, MAKAMBA WAVUNJA UKIMYA “NENO LA MWISHO KATIKA HILI”