Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanaume wawili ambao ni Bahadur Hirji miaka 68 pamoja na mwanaye nahid Hirji miaka 33 kwa tuhuma za kuahidi na kutoa hongo ya shilingi milioni moja na laki mbili kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ili asifuatilie mapungufu katika utekelezaji wa amri ya baraza la ardhi na nyumba la wilaya ya Dodoma ya kukazia hukumu iliyowasilishwa kwake na dada wa Bahadur Hirji.
Mkuu wa TAKUKURU Dodoma Sosthenes kibwengo amewaeleza Waandishi wa Habari ofisini kwake namna walivyoweza kuwakamata watuhumiwa hao.
WAFANYABIASHARA WALIVYOFUNGUKA MBELE YA WAZIRI BASHUNGWA