Naibu Waziri ya Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji amewataka wazazi kuacha tabia ya kuwaficha ndani watoto wenye ulemavu na badala yake wawapeleke shule ili kupata elimu kama ilivyo kwa watoto wengine.
Dr. Kijaji ametoa kauli hiyo wakati akipokea msaada wa meza na viti hamsini vyenye thamani ya Shilingi Milion 5 kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la Glaring Future Fondation (GFF) ili kusaidia kutatua changamoto ya upungufu wa madawati uliopo katika Shule ya Sekondari Kinyasi Wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma.
NDEGE YAANGUKA MAFIA, POLISI WAZUNGUMZA