Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ameagiza wananchi kuwakamata Maafisa Ugani wasiotembelea mashamba ya Wananchi huku akiziomba Mamlaka zinazowasimamia kuangalia upya utendaji kazi wao.
Akizungumza akiwa na RC wa Tabora Aggrey Mwanri amesema RC Kigoma “Suala la Ugani ni hovyo mimi natamani kukuona wiki nzima hajafika kutembela mashamba mkamateni na msimpige halafu atapata habari yake”.