Shomari Mfaume ni fundi garage ambaye Ofisi yake ipo jirani kabisa na eneo lilipotokea tukio la ajali ya moto Morogoro, na kupitia AyoTV na ‘millardayo.com’ amesimulia namna tukio lote lilivyotokea na alivyoshuhudia Mdogo wake akiteketea kwa moto.
ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA, ATISHIA MBELE YA HAKIMU “NITAFANYA KITU MBAYA”