Serikali imewakabidhi zawadi ya fedha taslimu Milioni 10 Askari saba wa Jeshi la Polisi waliofanikisha kukamatwa kwa madini yenye thamani ya shilingi Milioni 958 yaliyokuwa yakitoroshwa mpakani mwa Namanga mwezi June mwaka huu.
Pamoja na hayo wakati wakikabidhiwa fedha hizo kila mmoja alikuwwa akionyesha mbwembwe zake.