Mwanahabari Erick Kabendera amefikishwa Mahakamani tena leo kwa ajili ya kutajwa kwa shauri linalomkabili akituhumiwa kuongoza genge la uhalifu na utakatishaji fedha wa zaidi ya Tsh.Milioni 100, Kesi hiyo imeahirishwa hadi August 30, 2019 kutokana na upelelezi kutokamilika.
Nje ya Mahakama Wakili wa Kabendera, Jebra Kambole amezungumza na Waandishi wa habari.