Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna amesema kwenye utafiti uliofanywa, Mikoa ya Dar es salaam na Kilimanjaro imeongoza Tanzania kwa kuwa na Wanawake wenye viribatumbo “inaongoza kwa kuwa na kina Mama wenye unene au kiriba tumbo”