Wanafunzi wanaosoma masomo ya fizikia, kemia na masomo mengine ya sayansi wametakiwa kutumia mafunzo yao ya darasani kutatua changamoto zinazoikabili jamii inayowazunguka,ili kuona uwezo wao wa kufikiri na kutatua baadhi ya changamoto.
Kuelekea kuanza kwa mashindano ya Wanafunzi wabunifu wa masomo ya sayansi, Mwalimu wa fizikia ambaye ni msimamizi wa wanafunzi walioshinda mashindano ya mwaka uliopita, Eva Shana amesema wanafunzi wengi wanashindwa kutumia elimu wanayopata kutatua matatizo ya jamii kutokana na wengi wa waalimu kushindwa kufundisha kwa vitendo.
VIDEO: Kwa ujasiri Kocha wa Simba SC kajitokeza kwa waandishi “Nimehuzunika”