DC Nkasi Said Mtanda amewaondoa Waalimu kwenye nyumba za nyasi na kuwalipia kodi za miezi mitatu kwenye nyumba za bati huku akiagiza wajenge za matofali ndio warudi “20% yenu irudishwe hapa kwa miezi yote na tutapata laki 9, mtatoa laki 5 mtanunua tofali”.
TRA ILIVYOMKAMATA MCHINA MWENYE MITAMBO YA KUKWEPA KODI