Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amekutana na kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia kuhusika kwake katika mazungumzo yasiyofaa dhidi ya Mhe. Rais Magufuli.
Nape Nnauye amekutana na Rais Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
MAGUFULI “INAUMIZA SAA NANE USIKU AMENITAFUTA, KAMTUMA MAMA MARIA NYERERE”