Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Nape amuomba Magufuli msamaha kwa kumuita mshamba, kapewa jambo afanye ili yaishe (+video)

on

Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amekutana na kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia kuhusika kwake katika mazungumzo yasiyofaa dhidi ya Mhe. Rais Magufuli.

Nape Nnauye amekutana na Rais Magufuli leo  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

MAGUFULI “INAUMIZA SAA NANE USIKU AMENITAFUTA, KAMTUMA MAMA MARIA NYERERE”

Soma na hizi

Tupia Comments