AyoTV na Millardayo.com zimefika kijichi na kuzungumza na wananchi wa eneo hilo ambao wamefunguka jinsi kijichi ilivyojengeka na kupelekea maisha ya hapo kubadilika na hata thamani ya maeneo ikiwemo kupangissha chumba cha kuishi au cha biashara vilivyopanda Bei.
Kama ulikuwa ukiogopa kwenda kuishi kijichi kutokana na Story za zamani basi wasikie wenyeji hawa jamaa anakuambia katafuta chumba cha elfu 25 Kijichi kakosa. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.
KONA ZA MLIMA KITONGA NA BARABARA YA ZEGE, ‘MAGARI YASITELEZE’, MTAALAMI KAFUNGUKA