Leo October 16, 2019 Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga na visiwa vya Pemba na Unguja.
TMA Imesema kuwa mvua kubwa itanyesha siku mbili yaani Alhamisi October 17 na Ijumaa October 18, 2019 hivyo wananchi wachukue tahadhari na mvua hizo.
Madhara yanayoweza kujitokeza ni pamoja na watu kuchelewa kazini, kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.
HARMONIZE AMKOSHA MAGUFULI ATAKA KUMPA UBUNGE, AMTAJIA JIMBO