Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameimngilia kati mgogoro wa Familia ya Mfanyabiashara Bilionea Msuya aliyeuawa mwaka 2013 huku kukitajwa kuwepo mvutano unaohusiana na mgawanyo wa mali zilizoachwa na marehemu.