Jumapili ya leo March 30 makundi matatu kutoka 255 yameamua kuunganisha nguvu zao kwa pamoja na kukupatia burudani moja ndani ya Maisha Club,kutakua na burudani toka kwa Tip Top ambayo wataongozwa na Tunda Man na Madee.
Kwa Tmk Wanaume Family wataongozwa na Chege na Temba na kundi la Mkubwa na Wanawe linaloongozwa na Aslay,ni miongoni mwa show ambazo huwa zinatokea mara chache kuunganishwa kwa makundi haya na kufanya show moja.