Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 1-0 lililofungwa na Patrick Sibomana dakika ya 75 ya mchezo dhidi ya Ndanda FC, Antonio Nugaz ambaye ni afisa muhamasishaji wa timu hiyo aliongea na waandishi wa habari huku akiwa kashika nyingine za bonus za wachezaji.
Antonio Nugaz ametoa pesa taslimu kiasi cha Tsh Milioni 10 na kuzionesha kwa waandishi wa habari kuwa hiyo ni posho ya ushindi ya wachezaji wao kutoka kwa mdhamini wao GSM, yeye amepewa tu aziwasilishe.
VIDEO: BAADA YA KUFUKUZWA AYO TV IMEMFUATA ZAHERA KWAKE “SIJAPEWA BARUA”