Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof. Isaac Kamwelwe ametangaza kuanza kwa safari za treni katika Mkoa wa Arusha mwishoni mwa mwezi ujao mwakani na kusema zimebaki KM 10 pekee
Waziri Kamwelwe ametoa taarifa hiyo wakati akizungumzia ujio wa mkutano mkuu wa miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Posta Afrika.
MKURUGENZI AMUHAIDI WAZIRI NDALICHAKO KUWEKA UMEME SHULE ZOTE KASULU