Waziri Mkuu mpya wa Finland anaeshikilia rekodi ya kuwa Waziri Mkuu mwenye umri mdogo zaidi Duniani (34 yrs) Sanna Marin, amependekeza Finland iwe na siku nne tu za kufanya kazi na muda wa kazi uwe saa nne badala ya nane ili Watu wapate fursa kuwa na Familia zao kwa muda mrefu.
“Naamini Watu wana Haki ya kutumia muda wao mwingi na Familia zao, Wapenzi wao na mambo mengine Maishani kama vile hobby na utamaduni, siku za kazi ziwe nne na saa za kazi ziwe nne badala ya nane, itakuwa hatua kubwa kwetu katika Maisha ya kazi”-Sanna Marin
HAWA WAMEJIFANYA MAAFISA USALAMA WA MAGUFULI, WAMEKAMATWA NA POLISI