Mwanaume mmoja mkazi wa Kibondo Mjini amemuua Mke wake kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi na kugombania mali na kisha kujaribu kujiua kwa kunywa sumu.