Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE imevifutia usajili vyuo saba ambavyo vimethibitika kuendesha mafunzo bila kukidhi vigezo na utaratibu.
Akitoa taarifa hiyo mbele ya wanahabari, Mkurugenzi wa Opresheni wa NACTE, Dr Geofrey Oleke amesema lengo la kuvifutia vyuo hivyo usajili ni kutaka vikamilishe taratibu ili kutoa elimu yenye manufaa kwa Watanzania kwa kufuata misingi.
https://youtu.be/b-cqNCrBabw
BODI ILIYOTEULIWA NA MAGUFULI YAZINDULIWA “ALINIELEKEZA KUENDESHA KIJESHI”