Ikiwa wiki mbili sasa zimepita baada kutokea kwa ajali ya Helikopta huko Califonia Marekani na kusababisha kifo cha Kobe Bryant ambae ni mchezaji wa zamani wa timu ya mpira wa kikapu ya Lakers.
Tarehe 24 February mwaka huu zitatolewa heshima za mwisho za kuuaga mwili wa Mchezaji huyo kwenye ukumbi wa STAPLES CENTER mjini Los Angeles Marekani. ambapo tarehe iyo imepangwa kutokana na jezi aliokua anaivaa ya namba 24.