Msanii wa Bongo Fleva Wini amechia wimbo wake mpya aliomshirikisha msanii kutokea Kenya Masauti, wimbo unaitwa ‘Umenishika’ ni kazi yake ya NNE official toka aanze muziki.
PLAY hapa chini kutazama Video
VIDEO: TAZAMA MAHOJIANO YA G NAKO NA MSANII WA NIGERIA DANNY DREAMS WAKIONGELEA KOLABO YAO