Licha ya kuwajulisha Maafisa wa Maliasili wa Halmashauri ya Serengeti juu ya uwepo wa Viboko katika maeneo ya makazi ya watu katika Kijiji cha Nyanungu bado Wananchi wamemuua kwa mikuki mnyama huyo na kisha kugawana nyama.
Maafisa Wanyamapori kutoka Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti baada ya kufika eneo la tukio walikuta tayari kiboko huyo kauawa tayari.